Interahamwe
Interahamwe ilikuwa kundi la wanamgambo lililoanzisha mauaji ya kimbari nchini Rwanda mnamo 1994. Katika mauaji hayo, takriban milioni moja ya raia, hasa Watutsi lakini pia Wahutu wasiochukiana nao, waliuawa.
- Galileo (kipimaanga)
- Galileo ilikuwa kipimaanga kilichorushwa na NASA mwaka 1989 kwa shabaha ya kufanyia utafiti sayari ya Mshtarii (Jupiter) na miezi yake. Iligundua sayari ya Jupita na mwezi wake. Ilifika Mshtarii mnamo 1995
- Jangwa la Taklamakan
- Jangwa la Taklamakan ni jangwa kaskazini magharibi mwa China. Ni sehemu katika kusini magharibi mwa Mkoa wa Xinjiang. Upande wa kusini iko Milima ya Kunlun, upande wa magharibi na kaskazini Milima ya Pamir na milima ya Tian Shan
- Utumbo mwembamba
- Utumbo mwembamba ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula iliopo kati ya tumbo na utumbo mpana. Ni sehemu ndefu ya mfumo huo yenye urefu wa mita 4.5 - 9.6 kwa mtu mzima. Ndiyo sehemu ambapo virutubishi vingi hufyonzwa na kuingizwa katika mfumo wa damu
- Mkoa wa Thies
- Mkoa wa Thiès ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Thiès. Mkoa una eneo la kilomita za mraba 6,670 linalokaliwa na wakazi 1,788,864
- Rus
- Rus ni eneo la kihistoria katika Ulaya ya Mashariki iliyokaliwa hasa na wasemaji wa lugha za Kislavoni likitawaliwa na familia zenye asili ya Skandinavia
- Bahari ya Okhotsk
- Bahari ya Okhotsk ni bahari ya pembeni ya Pasifiki ya magharibi. Iko kati ya rasi ya Kamchatka upande wa mashariki, visiwa vya Kurili upande wa kusini mashariki, kisiwa cha Hokkaidō upande wa kusini, kisiwa cha Sakhalin kwenye magharibi, na pwani ya
- Kochi, Kerala
- Kochi ni mji katika jimbo la Kerala kwenye kusini-magharibi ya Uhindi
- Wabambara
- Wabambara ni kabila la Afrika ya Magharibi. Wanatumia lugha ya Kibambara, moja ya lugha za Kimande
- Mto Kraai
- Mto Kraai ni tawimto la Mto Orange nchini Afrika Kusini. Chanzo chke ni kuungana kwa mito Bell na Sterkspruit. Njia yake imekuwa ndefu kwa sababu inapindapinda sana ingawa umbali baina ya chanzo na mdomo kwenye mji wa Aliwal North ni kama km 100 pekee
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya