Idhaa ya Kiswahili ya Radio Tehran

Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Archived 15 Februari 2006 at the Wayback Machine. ni huduma ya matangazo ya "Islamic Republic of Iran Broadcasting" (IRIB) ambayo ni redio ya taifa ya Iran (Uajemi) kwa lugha ya Kiswahili.
Gideon Byamugisha
Gideon Byamugisha ni kasisi Mwanglikana wa Uganda na mchungaji wa kwanza Mwafrika aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa UKIMWI
Waarabu
Waarabu ni watu ambao lugha mama yao ni Kiarabu wakijitambua vile
Omar al-Bashir
Omar Hasan al-Bashir alikuwa rais wa nchi ya Sudan tangu mwaka 1993 hadi alipopinduliwa mnamo Aprili 2019
Historia ya Rwanda
Historia ya Rwanda inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Rwanda
Pasaka ya Kiyahudi
Pasaka ya Kiyahudi ni kati ya sikukuu muhimu zaidi za dini ya Uyahudi. Sikukuu hiyo inakumbuka Wanaisraeli walivyotoka katika utumwa walimokuwemo huko Misri
Abushiri ibn Salim al-Harthi
Abushiri ibn Salim al-Harthi alikuwa kiongozi wa upinzani dhidi ya ukoloni wa Wajerumani katika maeneo ya Pangani na pwani ya Tanzania ya leo mnamo 1889
Oreste Baratieri
Oreste Baratieri alikuwa mbunge wa Italia, jenerali wa jeshi na gavana wa koloni la Eritrea aliyeongoza Waitalia katika mapigano ya Adowa waliposhindwa vibaya na Ethiopia
Alexander von Humboldt
Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander Freiherr von Humboldt alikuwa mpelelezi na mwanasayansi kutoka Prussia katika Ujerumani
Emil von Zelewski
Emil von Zelewski alikuwa afisa wa jeshi la Ujerumani. Alipokuwa kamanda ya kwanza wa jeshi la ulinzi la kikoloni katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani aliongoza jeshi hilo katika vita dhidi ya Wahehe alipouawa
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya