Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania ni idara ya usalama nchini Tanzania.
Daniel Narcis Mloka
Daniel Narcis Mloka alikuwa balozi wa Tanzania nchini Uswidi kati ya mwaka 1983 hadi mwaka 1989 pia alikuwa balozi nchini Kanada
George Cleopa Mapunjo
George Cleopa Mapunjo Mpembeni (alizaliwa tarehe 28 Septemba 1980 katika Wilaya ya Malinyi, Mkoa wa Morogoro
A Hotel Called Memory
A Hotel Called Memory ni filamu ya Nigeria ya Nollywood ya mwaka 2017 iliyoongozwa na Akin Omotoso. Inajulikana kwa kukosa mazungumzo, ikijulikana zaidi kama filamu ya kwanza ya kinigeria ya kimyakimya
Rose Njilo
Rose Njilo ni mwanaharakati na mpigania haki za wanawake hasa wanaotoka katika jamii ya Kimasai; pia ni mkurugenzi na mwanzilishi wa shirika la kutetea haki hizo la Mimutie Women Organization
Rong Fu
Rong Fu ni mtafiti, mwanamazingira, profesa na mwandishi aliyandika zaidi ya makala mia moja, vitabu pamoja na kushughulika na mambo mbalimbali yanayohusu mazingira na anga, mvua, pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa, amesimamia na kuendesha zaidi ya
Media Convergency
Media Convergency Company Limited ni Shirika lililopo mkoa wa Dar es salaam nchini Tanzania linayojishughulisha na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Pamoja na masuala ya kidigitali, shirika hili linafanya kazi na wadau wa maendeleo katika maeneo
Audax Kahendaguza Vedasto
Audax Kahendaguza Vedasto ni mwanasheria msomi aliyejikita katika tasnia ya uandishi wa vitabu vya sheria na diwani za mashairi. Kama ilivyo kwa washairi wengine, Audax hujulikana kwa lakabu ya ushairi kama "Mwana wa Kahenda
Makaburi ya Wakimbizi wa Kipolandi Katika Afrika
Makaburi ya Wakimbizi wa Kipolandi Katika Afrika ni idadi inayojumuisha makaburi ya wakimbizi wa huko Polandi waliokimbilia Afrika wakati wa Vita kuu ya pili ya dunia
Abobaku
Abobaku ni filamu fupi ya mwaka 2010 iliyoandikwa na kutayarishwa na Femi Odugbemi na kuongozwa na Niji Akanni
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya