Gali
Gali ni elementi. Namba atomia yake ni 31 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 69.723.
- Reni
- Reni ni metali nzito na haba sana. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Re na namba atomia 75 katika mfumo radidia
- Taj Mahal
- Taj Mahal ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani
- Tali
- Tali ni elementi. Namba atomia yake ni 81 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 204.3833. Jina limepatikana kutoka kwa Kigiriki θαλλος thallos „chipuko bichi“ au „chipuko chenye rangi ya kijani" kutokana na rangi ya kijani ya moto kama tali
- Niobi
- Niobi ni elementi haba na metali ya mpito yenye namba atomia 41 katika mfumo radidia. Hutokea ndani ya mitapo na rangi yake ni ya kijivu ikisafishwa
- Indi
- Indi ni elementi. Namba atomia yake ni 49 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 114.818. Jina limepatikana kutoka kwa rangi ya indigo au buluu ya Kihindi katika taswirangi yake
- Pembe (jiometria)
- Pembe ni nafasi kati ya mistari miwili pale ambako inakutana. Mistari huitwa "mikono" ya pembe. Nukta inapokutana ni kipeo au ncha
- Rutheni
- Rutheni ni elementi na metali haba sana duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Ru na namba atomia 44 katika mfumo radidia
- Tekineti
- Tekineti ni elementi sintetiki na metali. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Tc na namba atomia 43 katika mfumo radidia
- Nitrojeni
- Nitrojeni ni elementi yenye namba atomia 7 katika mfumo radidia na uzani atomia 14.0067. Alama yake ni N. Ina elektroni 5 katika ganda la nje
- Alan Hastings
- Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis