Esmé Frances Hennessy

Esmé Frances Hennessy, née Franklin ni mtaalamu wa mimea, mchoraji wa mimea na mwandishi wa Afrika Kusini.
Mto White Kei
Mto White Kei unapatikana katika jimbo la Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini
Mto Verlorevlei
Mto Verlorevlei unapatikana katika jimbo la Rasi Magharibi, Afrika Kusini. Lango la mto huo linapatikana katika ghuba ya Elands
Aïda Muluneh
Aïda Muluneh ni msanii wa kisasa na mpiga picha kutoka nchi ya Ethiopia
Barbara Adair
Barbara Adair ni mwandishi wa Afrika Kusini. Riwaya yake ya mwaka 2004 iitwayo In Tangier We Killed the Blue Parrot iliorodheshwa kuwania tuzo ya waandishi wa vitabu ya Sunday Time na riwaya yake iitwayo END iliorodheshwa kuwania tuzo ya jumuiya ya madola
Bongiwe Dhlomo-Mautloa
Bongiwe au Bongi Dhlomo-Mautloa ni raia wa Afrika ya Kusini mwenye asili ya Kizulu na hujishughulisha katika uchapishaji na usimamizi wa kazi za sanaa. Pia ni mwanaharakati
Mawazine
Mawazine ni tamasha la kimataifa la Morocco inayofanyika kila mwaka huko Rabat, Morocco, ikiwashirikisha wasanii wengi wa muziki wa kimataifa na wazawa. Tamasha hili inaongozwa na Mounir Majidi, katibu wa mfalme wa Morocco, Mohammed VI na mwanzilishi na
Salha Israel
Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania
Victoria Kisyombe
Victoria Kisyombe ni mwanzilishi wa shirika la SELFINA lililopo nchini Tanzania linalohusika na utoaji mikopo midogo kwa wanawake, hasa wajane, kwa lengo la kuwawezesha kujikwamua katika dimbwi la umaskini na utegemezi nchini
May Balisidya
May Lenna Balisidya Matteru alikuwa mwandishi wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya