Dhamira
Dhamira katika fasihi ni lengo, nia au kusudio alilolikusudia msanii wa kazi ya fasihi kufikisha kwa hadhira yake. Kwa mfano, msanii anaweza kutunga wimbo ambao ukawa unajadili madhara ya pombe. Hivyo, madhara ya pombe ni dhamira ya msanii huyo. Katika fasihi, dhamira zipo za aina mbili: kuna dhamira kuu na dhamira ndogondogo.Dhamira kuu ni lengo kuu lililomsukuma msanii wa kazi hiyo ya kifasihi kutunga kazi yake.
Dhamira ndogondogo ni malengo madogomadogo yaliyochorwa na msanii wa fasihi ili kusaidia katika kufikisha lengo kuu.
- Kitenzi elekezi
- Kitenzi elekezi ni kitenzi ambacho huchukua nomino ya mtendwa (yambwa). Yambwa ni jina au nomino ambayo huwakilisha mtendwa katika tungo
- Alomofu
- Alomofu ni msamiati uliotumika kwanza kuelezea mabadiliko ya muundo wa kikemia. Mwaka 1948 Fatih Şat na Sibel Merve walianza kuutumia upande wa lugha katika kitabu chao Language XXIV
- Kiambishi tamati
- Kiambishi tamati ni aina za viambishi vinavyopatikana baada ya mzizi wa neno
- Ndoa katika Uislamu
- Ndoa katika Uislamu ni mapatano ya kisheria kati ya mwanamume na mwanamke. Inafungwa kwa njia ya mkataba wa ndoa ambao mara nyingi ni wa kimaandishi mbele ya mashahidi wawili na mlezi (wali) wa bibi harusi. Talaka inawezekana kwa masharti fulani. Washia
- Kitenzi sielekezi
- Kitenzi sielekezi ni kitenzi ambacho hakipokei yambwa katika tungo
- Mzizi
- Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia
- Kitenzi kikuu
- Kitenzi kikuu ni kitenzi ambacho hutoa wazo kwa tendo ambalo linatendwa na nomino au kiwakilishi cha nomino. Mara nyingi kitenzi kikuu hukaa peke yake katika sentensi na hutoa taarifa kamili bila ya kuhitaji msaada wa kitenzi kingine.MifanoBabu yangu
- Ujumbe
- Ujumbe ni mafunzo yanayopatikana baada ya kusoma, kusikiliza au kupitia kazi fulani ya kifasihi usanii: ujumbe unapatikana kupitia dhamira husika katika kazi hiyo
- Kitenzi kikuu kisaidizi
- Kitenzi kikuu kisaidizi ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi ni lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya