Charlize Theron
Charlize Theron ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani wa Kiafrika Kusini-Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Stella Bridger kutoka katika filamu ya The Italian Job, Aileen Wuornos kutoka katika filamu ya Monster, ambayo ilimwezesha kujipatia Tuzo ya Academy.
- Prison Break
- Prison Break ni mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani, ambacho kilianza kurushwa hewani tangu mnamo tar. 29 Agosti 2005 na kituo cha TV cha Fox Broadcasting Company
- Aaliyah
- Aaliyah Dana Haughton alikuwa msanii wa rekodi, mwigizaji, na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alijulikana sana kwa jina la kisanii kama Aaliyah. Aaliyah alizaliwa mjini Brooklyn, New York, na kukulia mjini Detroit, Michigan. Wakati wa umri wake wa
- Alien vs. Predator
- Alien vs. Predator ni filamu ya bunilizi ya kisayansi ya mwaka wa 2004 - kutoka nchini Marekani. Filamu iliongozwa na Paul W.S. Anderson kwa ajili ya 20th Century Fox. Igizo la filamu linatokana na nyusika mbili zilizolewa pamoja kwa ajili ya ushabiki tu
- 50 Cent
- Curtis James Jackson III ni mwanamuziki wa rap-hip hop, mwigizaji na mtayarishaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 50 Cent
- Emma Goldman
- Emma Goldman alikuwa akifahamika kama mfuasi wa utawala huria, kuanzia mwishoni wa karne ya 19 hadi katikati ya karne ya 20
- Saida Karoli
- Saida Karoli ni mwanamuziki wa nyimbo za asili ya Kihaya nchini Tanzania. Saida alipata elimu ya msingi mwisho darasa la tano tu, ambapo ilibidi aache shule kutokana na kukosa msaada kutoka kwa baba yake ambaye hakuwa anaitazama sana elimu ya mtoto wake
- Sarah Bernhardt
- Sarah Bernhardt alikuwa mwigizaji tamthilia wa Kifaransa, na mara nyingi hufikiriwa kama miongoni mwa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya uigizaji tamthilia duniani. Mwanzoni mwa karne ya 20, aliigiza pia katika filamu za kwanza
- Marx Brothers
- Marx Brothers kilikuwa kikundi mashuhuri cha watu watano walio ndugu wachekeshaji wa katika makumbi, filamu na katika televisheni. Ndugu hao alikuwemo Chico, Harpo, Groucho, Gummo na Zeppo
- Bruce Willis
- Walter Bruce Willis ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko
- Yulia Raskina
- Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya