Bonyokwa
Bonyokwa ni jina la kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye msimbo wa posta namba 12120 . Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi wa kata ilikadiriwa kuwa watu 34061.
- Maskarena
- Maskarena ni funguvisiwa katika Bahari Hindi takriban 900 km mashariki ya Madagaska. Kwa jumla ni visiwa vya dola la Morisi pamoja na kisiwa cha Kifaransa cha Réunion
- Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini
- Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini ni jina la sehemu ya kaskazini ya "mkondo wa Ghuba
- Standard English-Swahili Dictionary
- Madan-Johnson's Standard English-Swahili Dictionary iliandaliwa na wataalamu wa "Inter-territorial Language (Swahili) committee to the East African Dependencies" baada ya Vita Kuu ya Kwanza kwa ajili ya maeneo chini ya utawala wa Uingereza katika Afrika
- Bendera ya Zambia
- Bendera ya Zambia ni ya kijani. Katika kona ya chini kuna eneo ndogo la milia mitatu ya kusimama ya nyekundu, nyeusi na dhahabu. Juu yake iko tai ya dhahabu
- Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia
- KAST ni kifupi chake cha "Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia" iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1995
- Delta ya barani
- Delta ya barani ni eneo nchini na mbali na bahari ambapo mto unapanuka kwa umbo la delta
- Bendera ya Guinea
- Bendera ya Guinea ina milia mitatu ya kusimama yenye rangi za nyekundu, njano na kijani - kibichi. Rangi hizi ziko pia kwenye bendera ya Ethiopia na ya Ghana zinaonyesha athira za Ethiopia na pia Ghana
- Afrika ya Kati
- Afrika ya Kati ni kanda la bara la Afrika iliyoko katikati ya bara. Katika hesabu ya Umoja wa Mataifa (UM) nchi 9 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu zake
- Sale (mji)
- Salé ni mji wa Moroko
- Alan Hastings
- Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis