Bendera ya China

Bendera ya Jamhuri ya Watu wa China ilionyeshwa rasmi mara ya kwanza tar. 1 Oktoba 1949 baada ya ushindi wa Wakomunisti juu ya Kuomintang katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya China.
Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya
Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya ilikuwa ushirikiano wa nchi za Ulaya katika mambo ya uchumi tangu 1958. Imekuwa chanzo cha Umoja wa Ulaya
Îles Éparses
Îles éparses ni atolli na visiwa vidogo katika Bahari Hindi vinavyotawaliwa na Ufaransa. Haviko chini ya mkoa wowote au kitengo kingine kati ya maeneo ya ng'ambo ya Ufaransa. Havihesabiwi kama mkoa wa pekee kwa sababu hakuna wakazi asilia isipokuwa
Halkidiki
Halkidiki ni rasi ya Ugiriki ya kaskazini inayoingia katika bahari ya Mediteranea kwa umbo la mkono mwenye vidole vitatu. Kidole upande wa mashariki ni Athos inayojulikana kama jamhuri ya Wamonaki; ni kama jimbo la kujitegemea linalosimamiwa na Ugiriki
Ionia
Ionia ilikuwa eneo la kihistoria katika magharibi ya Asia Ndogo zamani za Ugiriki ya Kale. Leo hii eneo lake liko ndani ya Uturuki
Jamhuri ya Roma
Jamhuri ya Roma ilikuwa kipindi cha Roma ya Kale ambako mji na milki yake ilitawaliwa kwa mfumo wa jamhuri
Kalenda
Kalenda ni utaratibu wa kupanga wakati. Hupatikana kama orodha ya vipindi vya wakati kama vile siku, juma, mwezi na mwaka. Kalenda mbalimbali zimejua pia vipindi vya miaka kadhaa
Rama Yade
Rama Yade ni waziri msaidizi wa mambo ya nje katika serikali ya rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa
Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini
Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini ni nchi isiyotambuliwa na jumuiya ya kimataifa iliyoko sehemu ya kaskazini ya kisiwa cha Kupro. Eneo lake ni 3,335 km² kuna wakazi lakhi mbili karibu wote ni Waturuki pamoja na Wagiriki 3,000 waliobaki kwenye
Johannes Brahms
Johannes Brahms alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ujerumani. Alizaliwa katika familia ya wanamuziki alianza kutunga muziki kwa ajili ya piano. Baadaye aliendelea kutunga simfonia 4 halafu muziki ndogondogo
Alan Hastings
Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis