Basit Igtet

Basit Igtet ni mfanyabiashara wa Zurich na Libya ambaye ameanzisha kampuni kadhaa katika sekta mbalimbali nchini humo. Mwaka 2011, alifanya kazi kuunga mkono mapinduzi ya Libya kupitia ushawishi wa kimataifa na hivyo basi aliteuliwa kuwa Mjumbe Maalum wa Baraza la Kitaifa la Mpito (NTC) nchini Libya tarehe 4 Septemba 2011.
Charles Beh
Charles Beh ni mfanyabiashara wa nchini Liberia. Ni mmiliki wa kituo cha Biashara cha Charles Business Center (CBC), na duka maarufu la rejareja katika mtaa wa Randall Street katikati mwa mji wa Monrovia
Urias McGill
Urias Africanus McGill alikuwa chotara wa Kiafrika na Kimarekani ambaye alihamia nchini Liberia na familia yake mnamo karne ya 19
Gyude Bryant
Charles Gyude Bryant alikuwa mwanasiasa na mfanyabiashara nchini Liberia
Danieline Moore
Danieline Moore Kamya ni muigizaji na mjasiriamali kutokea nchini Liberia. Mwaka 2007 alikuwa Miss Liberia USA. Yeye pia ni msemaji wa Africa Environment Watch
Mustafa Rugibani
Mustafa Rugibani ni mfanyabiashara na mwanasiasa nchini Libya. Aliteuliwa na Abdurrahim El-Keib kuwa Waziri wa Kazi tarehe 22 Novemba 2011
Jack Peddie
John Hope Peddie alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Uskoti, aliyecheza katika vilabu tofautitofauti huko Uingereza na Uskoti, ambavyo ni Newcastle United, Manchester United, Plymouth Argyle na Heart of Midlothian
John Hargreaves (mwigizaji)
John William Hargreaves Alikuwa mwigizaji wa Australia. Alishinda tuzo Tuzo za Taasisi ya Filamu ya Australia na aliteuliwa mara sita
Hugo Soto (mwigizaji)
Hugo Soto alikuwa mwigizaji na msanii wa Argentina
Agounit
Agounit ni mji mdogo au kijiji katika eneo la Río de Oro, eneo lenye mabishano ya Sahara Magharibi. Inadaiwa na Moroko, lakini upo mashariki mwa Ukuta wa Moroko, na kwa hiyo imejumuishwa na Polisario katika eneo huru la Sahara Magharibi, chini ya mamlaka
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya