Alchemy of Souls

Alchemy of Souls, ni kipindi cha televisheni kutoka nchini Korea Kusini kilichohusisha waigizaji kama Lee Jae-wook, Jung So-min, Go Youn-jung, na Hwang Min-hyun. Tamthilia hii Imeandikwa na Hong sisters, inahusisha wachawi wanaoshughulika na mbingu na dunia. Ilianza kuonyeshwa mnamo tarehe Juni 18, 2022 hadi Januari 8, 2023, katika siku ya Jumamosi na Jumapili kwenye tvN saa. Inapatikana pia kwenye TVING na Netflix katika baadhi ya maeneo.
Albert Tsai
Albert Tsai ni mwigizaji wa nchini Marekani
Chloe Bennet
Chloe Wang ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Aliigiza kama Daisy Johnson/Quake katika tamthilia ya Marvel's Agents of SHIELD (2013–2020
Dirk Van Raalte
Dirk B.K. Van Raalte alikuwa askari wa Muungano katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani na alikuwa mwanachama wa Bunge la Jimbo la Michigan kwa mihula mitatu tofauti. Van Raalte alikuwa mwanachama hai wa jumuiya ya Uholanzi, Michigan kama
Michael Cardei
Mihaela Cardei ni mwanasayansi wa kompyuta nchini Marekani mwenye asili ya Romania anayejulikana sana kwa utafiti wake kuhusu mtandao wa matangazo ya pasiwaya. Ni profesa katika idara ya kompyuta na uhandisi wa Umeme na Sayansi ya Kompyuta katika chuo
Joanna Fiodorow
Joanna Fiodorow ni mwanariadha wa Polandi aliyebobea katika utupaji nyundo
Maryna Aleksiiva
Maryna Antonivna Aleksiiva ni muogeleaji kutoka Ukraine. Ni mshindi wa medali ya ubingwa wa dunia. Maryna ni pacha wa Vladyslava Aleksiiva ambaye pia ni muogeleaji
Mason Ferlic
Mason Ferlic ni mkimbiaji wa masafa marefu kutoka nchini Marekani
Artur Aleksanyan
Artur Aleksanyan ni mcheza mieleka katika mtindo wa Greco-Roman kutoka Armenia. Ni bingwa wa Michezo ya Olimpiki (2016), ni mshindi wa medali ya fedha (2021), ni mshindi wa medali ya shaba (2012), ni bingwa wa dunia mara tatu na ni bingwa wa mashindano ya
Jabu Khanyile
Jabu Khanyile alikuwa mwanamuziki wa Afrika Kusini na mwimbaji mkuu kutoka bendi ya Bayete
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya