Alan Major

Alan M. Major ni kocha wa mpira wa kikapu kutoka Marekani ambaye ni kocha mkuu wa Patriots BBC Ligi ya Mpira wa Kikapu nchini Afrika (BAL). Alikuwa mkufunzi mkuu katika Chuo Kikuu cha North Carolina huko Charlotte kutoka mwaka 2010 hadi mwaka 2015. Kabla ya kuteuliwa kuwa kocha wa Charlotte 49ers, Major alitumia miaka tisa kufanya kazi na Thad Matta katika Jimbo la Ohio na vyuo vikuu vya Xavier.Amezaliwa Indianapolis, huko Indiana, alihitimu mwaka 1992 huko Purdue. Major alichukua likizo ya matibabu kwa muda usiojulikana kwa sababu ya shida nyingi za kiafya mnamo Januari 2015, na nafasi yake ikachukuliwa na mkufunzi wake mkuu, Ryan Odom kwa muda. Kufikia katikati ya mwaka 2016, Major ana hali nzuri ya afya. Alirudi kando mnamo mwaka 2016 kama Mkurugenzi wa Ukuzaji wa Wachezaji huko Ohio State kutoka mwaka 2016-2017. Wakati akiwa mbali na kufundisha, Major alisafiri Marekani kutembelea timu mbalimbali ambazo za Chuo na NBA zilizofaulu. Pia alisaidia timu kadhaa za watalii wa ng'ambo kwenda China, Israel na Ufilipino.
Liz Mills
Liz Mills ni kocha wa mpira wa kikapu kutoka Australia ambaye aliwahi kuwa kocha mkuu wa timu ya mpira wa kikapu ya wanaume ya nchini Moroko AS Salé. Yeye ndiye mkufunzi mkuu wa kwanza wa kike wa mpira wa kikapu kuongoza timu ya wanaume kwenye ubingwa wa
José Neto
José Alves dos Santos Neto ni kocha mtaalamu wa mpira wa kikapu kutoka nchini Brazil. Tangu mwaka 2020 alikuwa kocha mkuu wa klabu ya Petro de Luanda katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Angola, na pia kwa timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanawake ya
Ogoh Odaudu
Ogoh Odaudu ni mchezaji wa mpira wa kikapu aliyestaafu kutoka Nigeria ambaye ni kocha mkuu wa timu ya Rivers Hoopers ya Ligi Kuu ya nchini Nigeria. Katika miaka yake ya kucheza, Odaudu alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria ya mpira wa kikapu
Robert Pack
Robert John Pack Jr. ni mchezaji wa zamani na mkufunzi wa kitaalamu wa mpira wa kikapu wa Kimarekani. Yeye ndiye kocha mkuu wa sasa wa timu ya REG wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika. Akiwa na urefu wa mita 1.88 anacheza kama mlinzi wa uhakika, alichezea
Timu ya taifa ya mpira wa vikapu ya wanaume chini ya umri wa miaka 18 ya Afrika Kusini
South Africa national under-18 basketball team inawakilisha Afrika Kusini katika mashindano ya mpira wa vikapu ya chini ya miaka 18. Timu hiyo inasimamiwa na Mpira wa Kikapu Afrika Kusini
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Angola
Angolan Basketball Federation Ni bodi inayoongoza na mashindano rasmi ya mpira wa vikapu nchini Angola. FAB ilianzishwa mwaka 1976, na Bw. José Jaime de Castro Guimarães akihudumu kama mwenyekiti. mwanzoni Shirikisho hilo lilikuwa Rua Rainha Ginga na
The Letter (2019 filamu)
The Letter Ni filamu yenye maudhui ya kikenya iliyo rekodiwa mwaka 2019 iliyoongozwa na Maia Lekow and Chris King. Filamu ilichaguliwa kama ingizo la Wakenya kama Filamu Bora Zaidi ya Kimataifa kwenye tuzo za 93rd Academy Awards, lakini haikuteuliwa
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Kamerun
Cameroon Basketball Federation (CBF) Ni shirika lisilo la faida na bodi inayoongozwa na serikali ya mpira wa kikapu nchini Kamerun. Shirika hili linawakilisha Kamerun katika FIBA na timu za kitaifa za mpira wa vikapu za wanaume na wanawake katika Kamati
Githinji Gitahi
Githinji Gitahi, Ni daktari wa Kenya ambaye amehudumu kama Afisa mkuu mtendaji wa Amref Health Africa pia alikua mwenyekiti mwenza wa kamati ya uongozi ya UHC2030. mwezi julai 2021, aliteuliwa kama kamsishna katika tume ya Afrika ya Korona (COVID-19
Alan Hastings
Alan Matthew Hastings ni mwanaekolojia wa hisabati na profesa mashuhuri katika Idara ya Sayansi ya Mazingira na Sera katika Chuo Kikuu cha California, Davis