Agatha mfiadini

Agatha alikuwa bikira wa Catania, Sicilia, leo nchini Italia aliyefia dini ya Ukristo, akitunza hivyo safi mwili wake na imani yake sawia kumshuhudia ujanani Kristo kuwa Bwana katika dhuluma ya kaisari Decius.
Historia ya Utawa
Hatuwezi kuelewa utawa tukidhani ni kitu kimoja: jina hilo linajumlisha maisha tofautitofauti
Mashirika ya ombaomba
Mashirika ya ombaomba ni aina za utawa zinazosisitiza ufukara na utume kando ya wajibu mkuu wa sala
Wakartusi
Shirika la Wakartusi, au Shirika la Mt. Bruno, ni utawa mmojawapo wa Kanisa Katoliki. Wamonaki wake wote, wanaume kwa wanawake wanaishi ndani kwa ndani: wengine katika nyumba za binafsi, wengine katika makao ya pamoja
Junipero Serra
Junipero Serra, O.F.M. alikuwa mtawa, padri na mmisionari wa Kanisa Katoliki
Petro Nolasco
Petro Nolasco alikuwa padri wa Kanisa Katoliki anayekumbukwa hasa kwa juhudi zake za kukomboa Wakristo waliotekwa na Waislamu utumwani pamoja na kurudisha amani
Wafransisko
Wafransisko ni jina la jumla la wafuasi wote wa Fransisko wa Asizi wanaokadiriwa kuwa milioni moja hivi duniani kote
Apostolicam Actuositatem
Mtaguso wa pili wa Vatikano uliwaongelea walei katika hati mbalimbali ukionyesha nafasi yao katika maisha ya Kanisa
Orientalium Ecclesiarum
Mtaguso wa pili wa Vatikano ulizingatia hali duni ya Makanisa Katoliki ya Mashariki ukaamua kuiboresha
Ad Gentes
Siku ya mwisho kabla ya kufunga Mtaguso wa pili wa Vatikano zilitolewa bado hati tatu, mojawapo kuhusu umisionari wa Kanisa, aina ile ya utume inayowaelekea watu wengi zaidi yaani wasio Wakristo
Yulia Raskina
Yulia Raskina ni mwanamichezo wa zamani wa gymnastics ya kupanga na mwalimu kutoka Belarus. Yeye ni mshindi wa medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2000, mshindi wa medali ya fedha ya Dunia kwa ujumla mwaka 1999, na mshindi mara mbili wa medali ya